a
Wim 8:13
;
Mwa 8:8
;
Wim 1:15
Song of Solomon 2:14
Mpenzi
14
a
Hua wangu penye nyufa za majabali,
mafichoni pembezoni mwa mlima,
nionyeshe uso wako,
na niisikie sauti yako,
kwa maana sauti yako ni tamu,
na uso wako unapendeza.
Copyright information for
SwhNEN